Home »
Music
» New Music : Pipi - Shauri Yako
Wengi wetu tunajua Pipi
kutokana na hit yake aliyoimba na Barnaba ulioitwa NJIA PANDA. Baada ya
kukaa kimya kwa muda mrefu sasa PIPI amerudi rasmi kwenye muziki na
kukuletea wimbo wake mpya kabisa uitwao SHAURI YAKO.
0 comments:
Post a Comment