Sunday, July 12, 2015

BRAND NEW - Mwana FA, Christian Bella, Nikki Wa Pili na Ruby - TANZANIA MPYA

Collabo mpya kutoka kwa wasanii wanaosikika nchini sasa Mwana FA, Christian Bella, Nikki Wa Pili na Ruby. Wimbo unaitwa TANZANIA MPYA na melody imeandikwa na Ditto wa THT. Jikoni si wengine bali ni wakali P Funk Majani na Lamar.

https://mkito.com/song/tanzania-mpya-mwana-fa-nikki-wa-pili-christian-bella-ruby/15076
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support