Sunday, January 5, 2014

INTERVIEW YA KING SUKA WA BONGO MOVIE YAFANYWA KUWA RINGTONE

Akizungumzia suala hilo king suka wa bongo Muvi  amesema haamini kile
kilichotokea kwani ni muda mfupi tu amefanya interview hiyo na tayari baadhi ya mitandao imesha idaka interview hiyo na kuifanya kuwa ringtone ya simu.
                                  Mtandao wa HD Transfom wenye interview ya King Suka

Akiongea kwa hisia kubwa ya furaha king suka aliitaja mitandao hiyo kuwa ni pamoja na mtandao maarufu wa Frequence, HD Transfom na mtandao wa Mp3hamster.net  yote hiyo imempa hamasa sana katika kazi zake na kumwongezea imani kuwa atafika mbali katika kazi zake.
Mtandao wa Mp3hamster

Mtandao wa Frequency

Vilevile alidokeza kuwa kwa sasa movie yake iitwayo “WARAKA WA MZEE KAPELA”  iko studio ikifanyiwa Editing lakini yeye yuko Location akishuti muvi mpya iitwayo “MIMI NA MWANANGU” .
Itazame interview yake hapa
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support