Sunday, April 20, 2014

First Godfrey ft. Kalla Jeremiah - Suprise (Audio)

Hii ni ngoma yangu ya kwanza baada ya kumaliza shindano la EBSS Bongo Star Search 2013
imetoka rasimi leo  mtandaoni na kwenye vituo mbalimbali vya matangazo/habari nimeamua kufanya nyimbo hii na kalla jeremiah kwa sababu 1, mtu ambae ananivutia frow yake pia 2, anaelewa anafanya nini kwenye game hii ya sasa 3,wote ni washiriki wa (EBSS) Bongo star Search mpaka sasa hakuna washiriki waliokaa na kufanya nyimbo moja kwa pamoja;

jina la nyimbo inaitwa; Suprise
majina ya waimbaji; first godfrey ft kalla jeremiah
producer; C91
studio;Spirity
mwaka;04/04/2014
Call        +255716 982 612
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support