Wednesday, April 30, 2014

Young Kacha amefanikiwa kuingia katika list ya wasanii wanaotambulika 'MTV'

Ukimuacha AY ambwene pamoja na nassibu abduli a.k.a Diamond Platinum ambaye ivi juzi kati
ameipepelusha bendera ya tanzania kwenye tunzo kubwa za africa MTV MAMA,,kumbe chini ya kapeti kuna vijana wawili tena toka kwenye mziki wa bongo hip hop, wamekuwa wakijituma kwa nguvu zao zote kutokana na supprt wanayopata ili tu na wao kuvuka boda na  kuwa katika ramani ya wasanii wataoiwakilisha 255 kwenye matunzo makubwa kama ya channel 0 na Mtv. Vijana awo wa wili ni Gosby pamoja na Young Kacha. Tukianza na Gosby ambae ni msanii anaesifika kwa kurap kwa swag kali pale anapokuwa juu ya beat, ye ivi karibuni amefanikiwa kumiliki account ya VEVO. Vevo ni shirika kubwa sana duniani linalojihusisha na maswala ya video za wasanii wakubwa wenye impact kubwa. Ivyo basi Gosby mr BMS amefanikisha kupiga hatua iyo.
kwa upande wa Young Kacha ambaye watu wengi sana wameshindwa kumdifine kisawa sawa kutokana na kuwa msanii mkimya na asie na papala ya ku4si mambo, yeye amefanikiwa kuingia katika list ya wasanii wanaotambulika na shirika kubwa sana la muziki duniani MTV. Ivi karibuni young kacha alipokea mtonyo uwo baada tu ya kuwasiliana na jamaa wa mtv.com kupitia internet. LINK YA PAGE YAKE YA MTV http://www.mtv.com/artists/young-kacha/
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support