Friday, April 4, 2014

Kaa tayari kwa ujio mwingine wa Young Kacha ft. Walter Chilambo 'I believe one day'

Baada ya kutoa remix ya dear gambe na kupiga kiki ndefu na kubwa..pia akaja kutoa wimbo
mkali na mkubwa TRAVELLER akimshirikisha kaka yake wa damu DARASA..pia tena akuishia apo akaja kutoa wimbo mwingine wa taifa uliomfanya ajulikane zaidi na zaidi BORA BABA ANGEKUWA MBUNGE, ambao wimbo uwo pia ulimuwezesha kumpa wadhamini wa muziki wake pamoja na wadhamini ambao walisimamia mavazi yanayoenda kwa jina la wimbo uwo<bora baba angekuwa mbunge> sasa bwana mdogo uyo ambae anawaumiza sana vichwa ma Young Rappers wenzia kama Young Killer na Young Dee, ameamua kuja na kibao kingine cha taifa akimshirikisha WALTER CHILAMBO..WImbo una kwenda kwa jina la I BELIEVE ONE DAY, na siku si nyingi utakuwa umetoka..maana kubwa na kwanini wimbo unaitwa ivyo, ngoja tuungoje afu tutaelewa.......
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support