Professor Jay ameachia ngoma yake mpya inayoitwa 'Tatu Chafu' imetayarishwa na Villy kutoka Mwanalizombe Studios.Isikilize na Download hapa
Thursday, July 31, 2014
New Music : Flora Mvungi Feat. H-Baba - Kidogo
Msanii wa filamu Tanzania,Flora Mvungi ameachia ngoma yake mpya Kidogo akimshirikisha Mumewe ' Hamis Baba a.k.a H-Baba' Mtayarishaji ni C9. Isikilize na Download hapa
Wednesday, July 30, 2014
Video : Diamond akihojiwa Marekani baada ya ushindi wa AFRIMMA
Tazama video ya Diamond Platnumz akihojiwa Marekani baada ya ushindi wa AFRIMMA bofya hapa http://www.youtube.com/watch?v=Tfi8W5KzkYc 
New Music : Mfashist Feat. Rock - Japo Suna
Download na sikiliza wimbo wa kwanza wa Mfashist 'Japo Suna',Umefanywa na producer Tira K na 
Beat imetengenezwa na Noizmekah ipo kwenye mixtape ya biashara 
ngumu.
New Music : King Yk - Malkia
Download na sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Yk inaitwa Malkia.Mtayarishaji ni Mtanzania Bamuyu kutoka DarkStone Records.
Brand New Single : Fuse ODG Feat. Angel - T.I.N.A.
Baada ya kushika chart za juu na ngoma ya Dangerous Love aliyomshirikisha 'Sean Paul'.Msanii kutoka Ghana,'Fuse ODG' amerudi tena na ngoma nyingine mpya inayoitwa 'T.I.N.A' akimshirikisha Msanii wa R&B 'Angel' kutoka Uingereza.Mtayarishaji ni Kill beatz kutoka nchini Ghana.Isikilize hapa
New Music : Lamar Feat. Chege - Uswazi Take Away (The Refix)
Kazi nyingine ya producer Lamar sasa hivi ni kuzitengenezea version 
tofauti baadhi ya hit singles za bongofleva project ambayo ameianza 
zaidi ya mwezi mmoja uliopita.
Leo ametupa nafasi ya kuisikiliza ‘Uswazi Take Away’ ya Chege.
Leo ametupa nafasi ya kuisikiliza ‘Uswazi Take Away’ ya Chege.
New Music : Deddy - Tujimwage
Deddy ameachia ngoma yake mpya iitwayo Tujimwage,Mtayarishaji ni Dupy kutoka Uprise Music.Isikilize na Download hapa
Tuesday, July 29, 2014
New Music : Maheeda - Can You Handle It
Nigerian Rapper, singer, social media phenomenon, beauty queen of controversy MAHEEDA,
is asking if you can handle it with her new hot single Prod. by TeeBeeO
"CAN YOU HANDLE IT".
is asking if you can handle it with her new hot single Prod. by TeeBeeO
"CAN YOU HANDLE IT".
MAHEEDA always brings something new and different to the table to suit all kinds of taste buds.
Maheeda will be touring Australia in september and is currently in nigeria.
Enjoy this new dance track and follow Maheeda @maheedanigeria and M9JA1 on instagram
Maheeda will be touring Australia in september and is currently in nigeria.
Enjoy this new dance track and follow Maheeda @maheedanigeria and M9JA1 on instagram
New Video : Bx Feat. Mr Blue, Nyandu Toz & Young Dee - Kesho
Tazama video mpya kutoka kwa Bx akiwa na Mr Blue, Nyandu Toz na Young Dee inaitwa 'Kesho'.Muongozaji ni Nick Dizzo kutoka Focus Films.
Monday, July 28, 2014
Video : Mkasi | SO9E06 with Aunty Ezekiel
Mkasi Wiki Iliyopita na Aunt Ezekiel Unaweza kuangalia kupitia hapa https://www.youtube.com/watch?v=BLaFf50kjPA
Sunday, July 27, 2014
New Video : Kcee – Ogadinma
Nigerian Artist 'Kcee' presents a new music video 'Ogadinma' from his Takeover album.Directed by Aje Films.
Dmmoze One Feat. First Godfrey (EBSS) - Najiuliza (Audio)
"Kwajina naitwa Dmmoze One(1) Nimsanii wa Muziki wa Kizazi kipya Tanzania Huu ni wimbo wangu wa kwanza kuingia studio na kurekodi kama official track,Ambayo inatambulika kwa jina la  NAJIULIZA  iliofanyika katika studio ya spirty iliopo Dar es Salaam chini ya producer C91,Nilioamua kumshirikisha msanii ajulikanae kama first godfrey (EBSS) mwenye nyimbo yake ya suprise chini ya producer C91"
Ayler - Nishampata (Audio)
Msanii Ayler  kutoka Arusha ameachia ngoma yake mpya iitwayo Nishampata, Mtayarishaji ni Marco Chali.Isikilize na Download hapa
Saturday, July 26, 2014
Teso Boy - Jala Mijeli (Official Video)
Tazama video mpya kutoka kwa Teso Boy iitwayo Jala Mijeli,audio imetayarishwa na Naroh Stress kutoka Rash Record na video imeongonzwa na Pizzo Mtena kutoka Skillz Videos
Darasa Feat. Osman - Sio Mbaya (Official Video)
Rapper Darasa ameachia video ya ngoma yake mpya "Sio Mbaya" akimshirikisha Osman,Audio imetayarishwa ndani ya studio za AM Records na Muongozaji wa video ni Hanscana.Itazame hapa
Friday, July 25, 2014
Dully Sykes - Togola (Audio)
Exclusive : Alikiba - Mwana & Kimasomaso (Audio)
Baada ya wapenzi wa muziki
Tanzania kusubiri kwa muda mrefu sasa wamepata nafasi ya kujiburudisha na ngoma
mpya kutoka kwa Alikiba. Tarehe 25 Julai, 2014 Alikiba ameachia single mbili
mpya kwa wakati mmoja ziitwazo “Mwana” na “Kimasomaso”. Alikiba anajulikana
ndani na nje ya Tanzania kwa hit zake kama Cinderella, Mapenzi yanarun dunia,
Single boy, na Dushelele. Cinderela ndiyo wimbo ambao mpaka sasa umeweka rekodi
ya kuuza copy nyingi katika Afrika Mashariki mwaka 2008. Mwaka 2012 Alikiba
alishinda tuzo ya best Rhumba/ Zouk na wimbo wake wa “Dushelele” katika tuzo za
Kilimanjaro Tanzania Music Awards. Alikiba anajulikana kwa uwezo wake mkubwa wa
kuimba na utunzi wa nyimbo pamoja na kuwa mburudishaji mkali sana katika show
zake za live na mpaka sasa ametembea nchi nyingi sana duniani kuburudisha
wapenzi wa muziki. Sasa unaweza kupata nyimbo mbili mpya za Alikiba bure katika
tovuti ya www.mkito.com
Thursday, July 24, 2014
Country Boy Feat. Mr Blue – Mchaka Mchaka (Audio)
Country Boy ameachia ngoma yake mpya iitwayo Mchaka Mchaka akimshirikisha Mr Blue,Mtayarishaji ni Mesen Selekta kutoka Defatality Music.Isikilize na Download hapa
Wednesday, July 23, 2014
Mavins Feat. Don Jazzy, Tiwa Savage, Dr SID, D'Prince, Reekado Banks, Korede Bello, Di'Ja - Dorobucci (Official Video)
Enjoy the offcial video for Mavin Records Hit single Dorobucci featuring
 Don Jazzy, Tiwa Savage, Dr SID, D'Prince, Reekado Banks, Korede Bello, 
Di'Ja. Directed by Nick Molotov and shot on location in South Africa the
 Video Also features a cameo appearance by the Winner of the Channel O 
Mavin superfan competition.
New Music : Sauti Sol - Sura Yako
New single Sura Yako (Swahili for Your Face) by East Africa’s top band 
Sauti Sol (Kenya). The song is the third single off the group’s third 
album “Live and Die in Africa” dropping this year. Sura Yako is written 
and produced by Sauti Sol under Sauti Sol Entertainment.
Tuesday, July 22, 2014
Young Killer Feat. Banana Zoro - Umebadilika (Audio)
Young Killer Msodoki ameachia ngoma yake mpya 'Umebadilika' akimshirikisha Banana Zoro, Mtayarishaji ni Dee Classic na Man Walter.Isikilize na Download hapa
Sunday, July 20, 2014
Lamar Feat. Navy Kenzo - Chelewa (The Refix) (Audio)
Lamar anaendelea na Project yake ya kuzirudia ngoma za bongo na kuzitengeneza katika mahadhi ya dance,Safari hii ameachia ngoma ya Navy Kenzo 'Chelewa'.Isikilize na Download hapa
Makamua Feat.Tanah Wa Tanchi & Fidempah - Mi Lover (Audio)
Download na Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Makamua akimshirikisha Tanah Wa Tanchi na Fidempah inaitwa  Mi Lover
Saturday, July 19, 2014
Young Dee - Rockstar (Official Video)
Young Dee ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo Rockstar,Audio imetayarishwa na Maximilian, Erastone Machine, Moses Kinanda, na Allan Mapigo.Muongozaji wa video ni Enos Olik.Itazame hapa
Stamina Feat. Nay Wa Mitego - Huko Kwenu Vipi (Audio)
Stamina ameachia ngoma yake mpya iitwayo Huko Kwenu Vipi akimshirikisha Nay Wa Mitego, Mtayarishaji ni Mr T Touch kutoka Seductive Records.Isikilize na Download hapa
Friday, July 18, 2014
Hafsa Kazinja - Mlala Nje (Official Video)
Stella Mwangi Feat. Kristoff & Khaligraph Jones - Biashara (Official Video)
Stella Mwangi is out with her new smash hit BIASHARA!´Biashara´ is a swahili word for ´Business´.
The song is about the struggle for money, power and respect in the corporate world.Song produced by Rumblin. Watch
The song is about the struggle for money, power and respect in the corporate world.Song produced by Rumblin. Watch
Introducing Toto Shine Magazine
I’m so excited that one of the projects that is so dear to my 
heart (to empower women and children) for the last 3 years I have been 
working very hard on it, is soon to become a reality…
The Toto Shine Magazine is now looking for drawings, poems or short stories from children ages 6 -14.
This
 magazine is for the whole East Africa region and beyond, so we want as 
many kids from Tanzania as possible to participate.  
I do remember when I was a little kid Mama na Mwana 
show read something I sent to them on the radio that was one of my best 
days. Also I answered some questions and they mailed me a congratulatory
 letter for being one of the winners. That little piece of paper I 
received was one of my inspirations growing up and I kept it for so many
 years.....
Motivate your kids to participate.  Thanks to my 
very good friends who believe me on this project so far we pay US $20 
 if we use each drawing, story or poem on our magazine. 
It is not just funny to earn money while still a kid but its also 
empowers. That little achievement your child, niece or nephew will 
receive can be a solid foundation of his/her ambition and determination 
to do much more in life.
The phone app is coming soon to easily update your kid’s work direct from your phone or tablet.  
Tell
 you kids, nieces and nephews and everyone you know. From abstract art 
and traditional drawing to sketching, painting, or doodling or perhaps 
it’s something that symbolizes the culture or maybe it’s a moment in 
her/his life that stands out. It could be a character he/she has 
created, or a drawing of a favorite pet. We are looking for it all. 
For poems we prefer non-rhyming poetry (free verse 
poems) though if your kid prefers rhyming poetry don’t hesitate to send 
it to us. 
For short stories 1500 words or fewer works best for our readers’ ages. 
For a chance your kid to be accepted make sure you 
or a teacher carefully read his/her writing or look at his/her artwork 
before submitting, and then consider any suggestions to make it better. 
Often, there are events in stories that don’t make sense, and having 
someone read it and make suggestions always helps! 
You or your child/niece/nephew must be 6-14 years old to participate.
Follow us at @totoshinemag and facebook ID Toto Shine for more updates 
The website www.totoshine.com is soon coming 
Also for those who would like to support our effort you can download our media kit at http://www.kwanzapress.com/
Best Regards,
Pauline Thursday, July 17, 2014
WizKid - Show You The Money (Official Video)
              The tag team of EME & STARBOY 
are proud to jointly present to you the brand new video for WizKid's 
"Show You The Money"... the video was shot on location in the exact same
 hood that Wiz grew up in, and shows that he hasn't forgotten his roots 
as he celebrates with everyone, young and old... this one is sure to 
keep global dance floors rocking. The video was directed by Patrick 
Ellis, and the jam was produced by Shizzi. We hope you enjoy this as you
 watch.
Wednesday, July 16, 2014
Matokeo ya kidato cha Sita 2014
Matokeo ya Kidato cha sita 2014 bofya hapa http://www.necta.go.tz/matokeo2014/ACSEE.htm kutazama
Matokeo ya Ualimu 2014
Matokeo ya ualimu 2014 bofya hapahttp://www.necta.go.tz/matokeo2014/ualimu.html kutazama
Peter Msechu Feat. Amini - Nyota (Audio)
Tuesday, July 15, 2014
Y Tony - Shitobe (Audio)
Download na Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Y Tony inaitwa Shitobe, imetayarishwa na Abbar Process kutoka Vipaji Tz
Rich Mavoko - Turururu (Audio)
Download na Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Rich Mavoko  iitwayo Turururu,imetayarishwa na Bob Junior kutoka Sharobaro Records.
D knob - Njaa Ya Mkwanja (Audio)
Baada ya kufanya poa na ngoma ya Nishike Mkono D knob amedondosha ngoma nyingine mpya  iitwayo "Njaa Ya Mkwanja" imetayarishwa na Villy David kutoka Mwanalizombe Studios.Isikilize na Download hapa






 






 
 


















.jpg)


 
 
 
 
 
 
 
 
