Wednesday, July 2, 2014

Barakah Da Prince - Sio Fine (Audio)

Msanii wa Tetemesha Entertainment, Barakah Da Prince leo (July 2) ameachia wimbo wake unaoitwa ‘SIO FINE’.
Wimbo huu anautoa kama ‘zawadi’ kwa mashabiki wake kwa kumpokea vizuri na single yake iliyopita ‘Jichunge’, wakati akijiandaa na single yake ‘official’ itakayotoka October.
 Wimbo huu uliwahi kusikia kwenye vituo vya Mwanza na kanda ya ziwa ila katika version tofauti na hii, lakini haukutoka official, hivyo tumeamua kuurekodi upya na kwa kiwango bora zaidi ili uweze kuwafikia mashabiki wote wapya na wa zamani.
 Song Credits:
Producers: Kidboy, Nusder & Lollipop
Song writer: Barakah Da Prince
Studio: Tetemesha (2014)
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support