Saturday, July 12, 2014

Baghdad ft. Dream - Haters (Audio)

Baada ya kukaa kimya kwa zaidi ya miezi 10 tangu alipowaunganisha waliokuwa maasimu wakubwa wa mziki wa hip hop Nay wa Mitego na Chidi Beenz katika wimbo wa Waambie Nipo,
Baghdad ameeleza ya kuwa ukimya wake wa muda mrefu ulitokana na kushughulikia muonekano wake mpya na pia ameeleza nia ya kusimama kutokuachia wimbo ni baada kampuni aliyosighn nayo mkataba wa kuuza coller tune kutokufanyia kazi mawazo yake na alikubaliana nao endapo wakiwa na masharti mazuri basi wanaweza wakaingia mkataba tena baada ya kuvunja mkataba wa awali,
Baghdad ameeleza ya kuwa wimbo wake mpya umefanywa na prod abbah process chini ya rec lable ya vipaji tz aliomshirikisha dream itaingia mtaani kwa jina la haters imeshafanyiwa video na kamuni ya next level dir adam juma na iko tayari na ameelezea ya kuwa itatoka siku chache baada ya audio kutoka….
Isikilize na download ngoma yake hapa

Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support