Monday, October 27, 2014

New Music : Hisia - Gimme A Call

Mshiriki wa Tusker Project Fame HISIA anakuja na kibao chake kipya GIMME A CALL ambacho amemshirikisha producer John Blass kutoka Grand Master Records. Hisia mwenye kipaji cha vocals ameonesha uwezo wake mkubwa katika hii track iliyopo katika miondoko ya Afro Soul. Wimbo ulitambulishwa rasmi katika concert iliyoandaliwa viwanja vya Alliance Francaise akisindikizwa na Grace Matata pamoja na kundi la H_art the Band kutoka nchini Kenya.

HISIA - GIMME A CALL

Vocals: Hisia
Drums: Nelson Martin Mugarula
Bass guitar: Kelvin Samuel
Guitars: Goodlucks Sway, Mzee Francis, Hisia
Keys: John Blass
Written by: Hisia
Music consultant: BR Marungi
Instruments recorded at Fnouk Music Studios
Co-arranged by Kelvin Samuel
Produced by: John Blass - Grand Master Records

https://mkito.com/song/gimme-a-call/3054
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support