Thursday, October 30, 2014

New Music : Sugu & Professor Jay - Makamanda

Mdau wa Mziki wa Kizazi kipya ndani ya Bongo na Kwengineko. Pokea kazi mpya toka kwa wakongwe hawa wawili katika kuihamasisha jamii ya ki TANZANIA kuhusu hali ya sasa na Uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015. Wimbo umefanywa Mwanalizombe Records chini ya Producer Villy. Enjoy
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support