Monday, November 10, 2014

New Music : JCB - Mtoto Mkali

Hii ni ngoma mpya ya JCB Kutoka WATENGWA Kijenge Juu, ngoma inaitwa MTOTO MKALI (Ghetto Luv) imefanywa katika studio za Watengwa chini ya Daz Naledge na kufanyiwa Mastering na DX wa Noiz Maker. Featured kwenye huu wimbo ni Hisia kutoka Tusker Project Fame. Hii ngoma itapatikana katika Album mpya ya #YANIKAMBELEKABISA #YKMK ambayo itatoka hivi karibuni.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support