Monday, November 3, 2014

New Music : Wakazi - Wanawake wa Dar

Msanii wa Hip Hop WAKAZI ambaye kwa muda mrefu amekuwa akiishi nchini Marekani huku akifanya muziki anakuletea single yake mpya iitwayo WANAWAKE WA DAR. Wakazi anasifa ya kuitwa "Bilingual Beast" kwakuwa anauwezo wake mkubwa wa kuchanganya lugha ya Kiswahili na Kiingereza katika mashairi yake. Mpaka sasa Wakazi ameshaachia Mixtape 3 na yuko mbioni kuachia album.

Sikiliza wimbo uliyokuwa ukisubiriwa kwa hamu kubwa hapa:

Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support