Tuesday, November 18, 2014

New Music & Lyrics - Jimmy Yeyoo Feat. L5 - Hamjanijua

Artist Jimmy Yeyoo Ft L 5
Song Hamjanijua
Gentr HipHop
Country Tanzania
LYLics
Intro [L5]
Hamjanijuaaa ,
Mnanisumbuaaaa
Haayaaa hayaaaa
Nisomeni Kwa Makini nisikilizeni
Ahaaa -- B One Records
Nisomeni kwa makini nisikilizeni
Maneno Yangu Kichwani Yawekeni;
Verce 1:
Moja tisa nane Tatu, ndipo nilipokuja ndani ya ulimwengu huu wa tatu, Nikiwa wakwanza ndani ya vichwa vitatu, Dingi akanitosa kabla sijavaa viatu, ndipo mama akahustle ndani ya vichwa vitatu yaani damu Tatu, Tangu mdogo nlifunzwa kupenda watu, kupenda watu maana Maisha ni watu, japo duniani kuna watu na viatu, wapo walo timamu, wapo walofyatu, hili ufanyikiwe upaswi kutazama watu, tizama watu kwa jicho la tatu, hata nduguyo anakuchekea hila mnaa tu, unapofanyikiwa hana raha ye karaha tu, kwenye shida hayupo anakufuata kwenye bata tu, nazijua shida Raha nimepata kidogo tu, nimeanza kuuza pombe geto nna miaka minane tu, mama analala night mi nakesha na walevi tu, nampa tafu nipate pay ya school, eeh mungu juu niondolee hawa watu wenye upeo nusu kama style za viduku, wanaojua kuponda hapa nliposimamia, bila kujua machungu ya huko nlikotokea, nlikotokea wangejua wasingeongea, asante mungu mpaka Leo napumua nipo nawatazama nahisi bado hamjanijua/
Chorus(L5)
Hamjanijua ndomaana,
Mnanizingua haaaayaaa
Nisimeni kwa makini nisikilizeni,
Maneno yangu kichwani yawekeni, nisomeni kwa makini nisikilizeni, maneno yangu kichwani yawekeniii×2 haaa ya haayaaa ahaayaaa
Verce (2)
Haaayaaa a hayaaa
Mama aliniambia nisiache shule kisa muzki, bado akaniambia nisifanye muzik kwa dhiki, nipo booth yeyoo, natizama mic, natizama mic namuona 2pac, ananiambia hip hop ya bifu ndo inalipa, maana ukipata kick ndo tayari we umetoka, one luv two luv three luv four, four luv three luv, two luv one, jipende wewe wengine wanakuongopea, marapa wanasaka kick kwa kumuimba babu sea, RIP langa Albert mangwair, mi ndo super duper raper mlokufa bila kunijua, nipo smart, bright, flow zangu classic, nina punch nzito kama shoot La podosick, nawatungua wote ma Mc ving'ast, sina tena hasira rohoni sina kisasi, nimeisha msamehe huyu mungu pamoja nasi, siku zinakwenda umri nao unasogea baada ya kuhustle sana nahitaj kupumua, asante mungu maana hapa natusua, nipo nawatizima naamini note mtanijua yeyoo/
Chorus
Hamjanijua ndomaana
Mnannisumbua hayaaa
Nisomeni kwa makini nisikilizeni, maneno yangu kichwani yawekeni
Nisomeni kwa makini nisikilizeniii
Maneno yangu kichwani yawekeniii
Hayaaa ha hayaaaa
Autro;
King muddy
Bichwa kubwa lisilokuwa na akili ni mzigo kwa miguu myembamba hisiyokuwa na dili
Chriss yeyoo
Brown boy
One love my brother.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support