Friday, February 27, 2015

New Music : Khaligraph Jones - Songea

Msanii maarufu wa Hip Hop kutoka nchini Kenya, Khaligraph Jones anakuletea wimbo wake mpya SONGEA ambao kwa sasa umeshika chati za Kenya. 
Khaligraph  ni msanii anayetambulika sana KENYA na pia amewahi kuwashirikisha wasanii wakubwa wa nchini Kenya pamoja na nje ya Kenya.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support