Tuesday, February 17, 2015

New Video : Wakazi - One Day Yes

Rapper Wakazi time hii ametusogezea video mpya ya single yake inayoitwa One Day yes itakayopatikana kwenye mixtape yake mpya aliyoipa jina la Live from Stakishari inayotarajia kutoka mwezi huu.
Video hiyo imeongozwa na Nova wa GhaphX production.itazame hapa https://www.youtube.com/watch?v=jAZbAxexqyQ
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support