Wednesday, February 25, 2015

New Video : Future Jnl - Without You

Mkali wa miondoko ya RnB kutoka Rock City,Mwanza 'Future Jnl' ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya " Without You" Muongozaji wa Video ni Msafiri Shabani kutoka Kwetu Studios. Itazame hapahttp://youtu.be/I_pQBC6QQxE
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support