Wimbo mpya kutoka kwa Mkali Belle9 "Shauri Zao" upo hapa https://mkito.com/song/shauri-zao/13727/bwi-34-27410
Sunday, March 29, 2015
New Music/Video : John Rodgers Feat. Lulu-Moyo Wangu
Pls Share Follow @johnrodgerz & Bofya HAPA https://mkito.com/song/moyo-
Saturday, March 28, 2015
New Music : Peter Msechu - Sophia Remix
Hii ni Remix ya wimbo wa Ben Pol "Sophia" umefanywa na Peter Msechu bofya hapa kuusikiliza http://www.audiomack.com/song/bongofive/sophia-remix
New Music : Chindo & Moplus Feat. J Deal - Fungua Kitabu (NOIZ)
Bofya HAPA https://mkito.com/song/fungua-
New Music : Vanessa Mdee Feat. K.O - Nobody But Me
Wimbo mpya wa Vanessa Mdee akishirikisha K.O wa Afrika kusini 
umetengenezwa na Nahreel kwa ushirikiano wa Lunatic, (Producer wa S.A 
aliyetengeneza wimbo wa KO - Cara Cara) na mchango wa nyongeza kutoka 
kwa Master A ambaye ni maarufu nchini humo kwa kutengeneza ala za nguvu.
Pakua hapa > https://mkito.com/song/ 

New Video : Best Nasso - Nitarudi Morogoro
Video mpya kutoka kwa Best Nasso "Nitarudi Morogoro
" itazame hapa https://www.youtube.com/watch?
" itazame hapa https://www.youtube.com/watch?
Tuesday, March 24, 2015
New Music : Stamina Feat. Fid Q - Like Father Like Son
Ngoma mpya uliyokuwa ukisubiri kwa hamu sasa ipo hewani!Download Like Father Like Son ya Stamina akimshirikisha Fid Q hapa > https://mkito.com/song/like-
 

New Music : Galaxy - Tam Tam
Pakua wimbo mpya wa Galaxy #TamTam, msanii chipukizi wa Bongo Fleva.
https://mkito.com/song/tamtam/
https://mkito.com/song/tamtam/
New Music : Mr Tix Feat. Odiijambo - Kilililii (NOIZ)
Bofya HAPA http://goo.gl/pCxWYD
 kupakua ngoma ya "Mr Tix" toka TLST crew yenye maskani pande za 
Mianzini Arusha akiwa amemshirikisha @Odiijambo toka Jambo Squad katika 
Ngoma kwa jina "Kilililii" ikiwa ni mkono toka @noizmekah chini ya 
@defxtro, kwa mawasilano/mahojiano zaidi check kwa Nambari +255 762 164 241 powered by @vmgafrica @noizmekah #SupportYourOwn
New Music : Jomla Ryder - Kaza Kisabuni (JoseBlaze.Noiz)
Bofya HAPA http://goo.gl/sf2xws
 kupakua wimbo kwa jina "Kaza Kisabuni" toka kwa Jomla Ryder ikiwa ni 
mkono wa Producer Jose Blaize na mixing pande za Noizmekah Studios chini
 ya @defxtro, kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na JOMLA RYDER kwa 
nambari +255 752 022 108 powered by @vmgafrica @defxtro @noizmekah #SupportYourOwn
New Music : Mwaka Mzima Feat. Davizo & Mwiro - Mumyloo (Goncher)
Bofya HAPA https://mkito.com/song/
New Music : Jokate Feat. Ice Prince - Leo Leo
Mkito huu umetayarishwa na Aloname na Tudd Thomas
Jikite hapa > https://mkito.com/song/leo-
Friday, March 20, 2015
New Music : Kala Jeremiah Feat. Roma - Nchi ya Ahadi
Download na Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa Kala Jeremiah Ft Roma uitwao Nchi ya Ahadi bofya hapahttp://www.hulkshare.com/kalajeremiah0444/tmp-20857-kala-jeremiah-ft-roma-nchi-ya-ahadi-512307571
Thursday, March 19, 2015
New Music : K-boy Feat. MohSnecko-Why Me (NOIZ)
Bofya HAPA http://goo.gl/HYZ1iD
 kupakua wimbo wa "K-boy akimshirikisha "MohSnecko" katika HipHop 
Category kwa jina "Why Me" toka @noizmekah mkono wa producer @defxtro 
kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na K BOY kwa nambari +255 762 841 938 powered by www.vmgafrica.com #SupportYourOwn
New Music : Classic Boyz Legend - Tucheze Ukuti
Bofya HAPA http://goo.gl/1nw2rJ
 kupakua wimbo wa kundi chipukizi la "Classic Boyz Legend" katika 
BongoFlava Category kwa jina "Tucheze Ukuti" na kwa 
mawasiliano/mahojiano zaidi check nao  kwa nambari +255 712 017 640 au +255 0768 368 293 au +255 652 710 947 powered by www.vmgafrica.com #SupportYourOwn
New Music : Amini Feat. Namcy Vana - Nabaki Nae
Pakua #MkitoMpya wa Amini akimshirikisha Namcy Vana hapahttps://mkito.com/song/nabaki-
New Video : AkiliMali - Swagger Zake
Follow @akilimali_prezdar & watch the official video 
"Swagger Zake" audio by @defxtro and Video directed by @iamsamtimber 
huku baadhi ya vipande @innomafuru pamoja na @travellah Bofya HAPA https://youtu.be/rlZGJGFohnA
 kutazama Video hii ya dancehall toka Arusha Mjini Pamoja Na eneo la Mto
 wa Mbu, wameshiriki Dancers kama Shontelle na Video Queen Glory a.k.a 
Bby Cruiz anayekuja kwa kasi katika Video Industry, pia pata audio HAPA 
 https://mkito.com/song/
New Music : Tanzania Female Artists - Simama Nami
Pakua wimbo mpya kutoka kwa Tanzania Female Artists - Simama Nami.
Wimbo huu umetengenezwa na Producer Luffa (Switch Studio)
Baadhi ya wanaounda kundi la Tanzania Female Artists ni pamoja na;
Mwasiti, Ksher, Linah, Khadija Nito, Grace Matata, Shilole, Kajala, Irene Uwoya, Shamsa Ford, Jacky Wolper, Zamaradi.
New Music : Nester Gillie Feat.Garma wa Town-Haisomeki (Mix.Noiz)
Bofya HAPA http://goo.gl/zpO2me
 kupakua wimbo wa "Nester Gillie" akimshirikisha "Garma wa Town" katika 
ngoma kwa jina "Haisomeki",kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na 
NESTER GILLIE kwa nambari +255 756 276 135 powered by @noizmekah www.vmgafrica.com @vmgafrica #vmgafrica
Friday, March 13, 2015
New Video : Amani - Kizungu Zungu
Moja kati ya mastar wakike wanaofanya vizuri Kenya, Amani ameachia single ya video yake mpya inayoitwa ‘Kizungu Zungu’.Video imeongozwa na Director anayeitwa Sync Itazame hapa
New Video : Linex Feat. Diamond Platnumz - Salima
Linex na Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa wanaounda kundi la Lekadutigite ambalo ndani yake lina mastaa wengine kama Ali Kiba, Recho, Abdul Kiba, Baba Levo, Mwasiti, Queen Darleen na wengine wengi.
Linex kwenye kolabo hii amesema kuwa haikuwa imepangwa yaani ni miongoni mwa collabo ambazo yeye na Diamond hawakupanga kufanya, Diamond aliukuta wimbo studio akaupenda akamcheki Linex wakaamua kufanya kwa pamoja na ikakamilika poa, singo ikaitwa ‘Salima’.
Hii ni singo ya pili kwa Linex kufanya na Diamond baada ya ile ya kwanza iliyoitwa ‘Nitaificha Wapi‘.
Bonyeza play kutazama wimbo huu.
New Video : Ommy Dimpoz - Wanjera
Here 
is the new Ommy Dimpoz video for the new smash hit called "Wanjera" 
which was directed by Godfather Production.The Video was shot on 
location in Johannesburg, South Africa, and features cameos from 
Tanzanian Superstar actress Wema Sepetu and Big Brother Hotshot winner, 
Idris Sultan. The song was Produced by Manwater (Combination Sound).
New Music : Ommy Dimpoz - Wanjera
Mkito mpya wa Ommy Dimpoz uliokuwa unausuburi "Wanjera" sasa upo hewani Exclusively on Mkito!
Pakua hapa > https://mkito.com/song/
New Music : Bonta - Mauwongo Uwongo
Bofya HAPA https://mkito.com/song/
--
--
New Music : Papaa Mafido - Tunafanyanga
--
New Music : Ras P Feat Azma - Kwa hii Sanaa (CukazBeats)
Bofya HAPA http://goo.gl/XS9Cgl
 kupakua wimbo wa Ras P ft Azma Mponda "Kwa Hii Sanaa" ikiwa ni HipHop 
category toka Cukaz Beats chini ya Producer Justinoo, kwa mawasiliano 
mahojiano zaidi check na RAS P kwa nambari +255 767 174 591 au +255 657 361 630 powered by @vmgafrica @defxtro #SupportYourOwn www.vmgafrica.com
New Music : ABD Mcee Feat. Spac Dawg - MC (NOIZ)
Bofya HAPA https://mkito.com/song/mc-ft-
New Music : Jaji De Classic - WanaTalk (NOIZ)
Bofya HAPA https://mkito.com/song/
New Music : Raf MC - Nimesema
Jikite na ngoma mpya kutoka kwa Raf MC - Nimesema, iliyotengenezwa na Daz Naledge chini ya studio ya Dab Music
https://mkito.com/song/Coming Soon : K-Zungu - Hadija
Baada ya kuachia ngoma ya Nawaasa K Zungu kutoka Mwanza anatarajia kuachia ngoma nyingine mpya hivi karibuni inayoitwa Hadija chini ya Usimamizi mpya kabisa.Kaa tayari
New Music : STD'z - Mida Inayeyuka (NOIZ)
Bofya HAPA https://mkito.com/song/mida-
--
--
Wednesday, March 11, 2015
New Music : Heri Muziki - Watu
Download na Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa Heri Muziki - Watu bofya hapahttp://www.hulkshare.com/heri-muziki-watu
New Music : PNC - Yule Yule
Download na Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa PNC - Yule Yule bofya hapahttp://www.hulkshare.com/pnc-yule-yule
New Music : Quick Rocka (Switcher) - All Of Me
Download na Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa Quick Rocka (Switcher) - All Of Me bofya hapahttp://www.hulkshare.com/all-of-me
New Music : First Godfrey - Usijali
Download na Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa first godfrey - Usijali bofya hapahttp://www.hulkshare.com/first-godfrey-usijali
Tuesday, March 10, 2015
N ew Music : Rama Dee - Usihofie Wachaga
Follow @rama_deetz & Bofya HAPA https://mkito.com/song/
New Music : Snura Feat. Nay Wa Mitego - Hawashi
Pakua kitu kipya kutoka kwa Snura wa Majanga akimshirikisha Nay Wa Mitego - Hawashihttps://mkito.com/song/
 







 






































.jpg)






 
 
 
 
 
 
 
 
