Pakua wimbo mpya kutoka kwa Tanzania Female Artists - Simama Nami.
Wimbo huu umetengenezwa na Producer Luffa (Switch Studio)
Baadhi ya wanaounda kundi la Tanzania Female Artists ni pamoja na;
Mwasiti, Ksher, Linah, Khadija Nito, Grace Matata, Shilole, Kajala, Irene Uwoya, Shamsa Ford, Jacky Wolper, Zamaradi.
0 comments:
Post a Comment