Friday, March 13, 2015

New Video : Linex Feat. Diamond Platnumz - Salima

Linex na Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa wanaounda kundi la Lekadutigite ambalo ndani yake lina mastaa wengine kama Ali Kiba, Recho, Abdul Kiba, Baba Levo, Mwasiti, Queen Darleen na wengine wengi.
Linex kwenye kolabo hii amesema kuwa haikuwa imepangwa yaani ni miongoni mwa collabo ambazo yeye na Diamond hawakupanga kufanya, Diamond aliukuta wimbo studio akaupenda akamcheki Linex wakaamua kufanya kwa pamoja na ikakamilika poa, singo ikaitwa ‘Salima’.
Hii ni singo ya pili kwa Linex kufanya na Diamond baada ya ile ya kwanza iliyoitwa ‘Nitaificha Wapi‘.
Bonyeza play kutazama wimbo huu.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support