
Saturday, March 28, 2015
New Music : Vanessa Mdee Feat. K.O - Nobody But Me
Wimbo mpya wa Vanessa Mdee akishirikisha K.O wa Afrika kusini
umetengenezwa na Nahreel kwa ushirikiano wa Lunatic, (Producer wa S.A
aliyetengeneza wimbo wa KO - Cara Cara) na mchango wa nyongeza kutoka
kwa Master A ambaye ni maarufu nchini humo kwa kutengeneza ala za nguvu.
Pakua hapa > https://mkito.com/song/ nobody-but-me/13670

0 comments:
Post a Comment