Monday, July 8, 2013

COMING SOON:STEVE RNB FT. MR BLUE-HUYU DEMU

Baada ya kutamba na single zake “Jambo Jambo” na “It’s all about Music”
  Msanii Mkali wa RnB, SteveRnB anatarajia kuachia single yake nyingine mpya July 9th, 2013.Single hiyo mpya inaitwa “Huyu Demu” ambayo amemshirikisha Mr. Blue.Wasanii hawa pia waliwahi kufanya poa sana kwenye ngoma ya "Tabasamu
"

Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support