Friday, July 5, 2013

TIKO-WATU (AUDIO)

Anaitwa Tiko Hassan - Jina la kisanii anaitwa TIKO ni Muigizaji wa Bongo Movie,
baada ya kufanya movie kibao hapa bongo sasa Mwaka Huu 2013 na yeye ameamua kwenda Studio za Mazuurecords na kufanya Wimbo wake wa kwanza unaojulikana kwajina la Watu. Nasasa yupo mbioni kwa kumalizia Album yake ya kwanza ndani ya Studio za Mazuurecords. Album imebeba nyimbo Hitz zaidi ya 10 - Miongoni mwa nyimbo hizo ni kama  pamoja na 1. Watu, 2.Acha love iyongee 3. Mimi na yeye na nyengine kibao. "Sijaacha Maigizo bado nipo na Muziki upo katika Damu" alisema Tiko.
Isikilize na download ngoma yake hapa
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support