Thursday, July 18, 2013

HUSH BABE-NIAMINI (AUDIO)



Share:

5 comments:

  1. That song niamini by hush babe is realy cool.kuaminiana ndo mpango kwenye maisha.

    ReplyDelete
  2. Wimbo mzuri sana ila ma dj wa kibongo wanabania vipaji vipya.muimbaji yuko poa sana kwenye hio picha.big up

    ReplyDelete
  3. Wimbo sio mbaya ila muimbaji ndo hatwari tupu kama malaika.tutupie picha zake nyingine tuweke wallpaper lol.

    ReplyDelete
  4. Nice song ila wadada wengi huwa hawaendelei utakuta nyimbo mbili tuu kapotea.akaze buti yuko poa sana tunangoja video.

    ReplyDelete
  5. Mbona hatuupati redioni au na huku tuu.sio kila mtanzania anatumia internet hasa sisi wa mikoani.ujumbe ni mzuri sana kaza buti dada yetu.

    ReplyDelete

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support