Monday, October 28, 2013

BOB HAISA-MEZA YA WANANDOA (AUDIO)

Naam wadau wangu wakati twaendelea kukutana mtandaoni kila mwezi na singo
mpya nadhani si vibaya nikikupa nyongeza au nchembo kama wasemavyo wasukuma wa shy na nchembo yetu leo inawahusu watu fulani hivi,Hebu ungana nami kwenye hii singo inaitwa Meza ya Wanandoa.Kama kawa tutaendelea na utaratibu wetu ule ule ngoma mpya kila mwezi Asante.Bob Haisa
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support