
Najua unajua ila nataka kukujuza zaidi kwamba hizi ndizo kazi alizozitengeneza Dir wa video hapa bongo anaitwa NISHER @nisherbybee hadi hivi sasa na nyingine bado hazijatoka kama utaangalia vizuri kuanzia kwenye video ya SUMU hizo zilizobakia zote ndio zinatakiwa kutoka sasa.
0 comments:
Post a Comment