Thursday, November 14, 2013

JIANDAE KWA UJIO MWINGINE WA BOB HAISA 15.11.13

Msanii Bob Haisa kutoka pande za Mwanza anataraija kuachia kibao chake kingine
kipya kesho tarehe 15.11.13 ikiwa ni mwendelezo wa zoezi lake la kuachia wimbo mpya kila ifikapo tarehe 15 ya kila mwezi.
Akiongea na blog hii Bob Haisa alisema wimbo huo unaitwa "Nithamini Nikiwa Hai" akiwa ameufanya chini ya producer King Fenya.Sikiliza kionjo chake hapa chini

Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support