Sunday, December 15, 2013

BOB HAISA-UNISAMEHE (KISUKUMA) (AUDIO)

"Mzee Nelson Mandela alikuwa Mwalimu wa somo la Msamaha najifunza mengi kutoka kwa mja huyu na
tarehe 15/12/13 ni siku ya safari yake kwenda kwenye marejeo yake.Nimeuchagua wimbo wa Msamaha uwe sindikizo lake na kwa msisitizo naweka toleo la unisamehe niliouimba kwa lugha ya kisukuma.R.I P Madiba" Bob Haisa
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support