Monday, December 9, 2013

HAPPY BIRTHDAY TO ME,HAPPY BIRTHDAY TANZANIA

Namshukuru Mwenyezi Mungu,Wazazi wangu, Taifa Langu  na watu wote kwa ujumla
kwa kufikia siku hii ya leo ambayo ni siku muhimu sana katika maisha yangu.Hii ni siku yangu ya kuzaliwa pamoja na Taifa langu.kwa hiyo najivunia kuzaliwa pamoja na Nchi yangu Tanzania..Happy Birthday to me Happy Birthday Tanzania.
Kwakuonesha Upendo wangu wa Dhati kwako pamoja na nchi yetu pia naomba utazame Video hii ya Bob Haisa inayoitwa Nasema na wewe Tanzania
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support