Friday, January 2, 2015

Bob Haisa asitisha rasmi utaratibu wa kuachia wimbo mpya kila mwezi

"Wapendwa mashabiki Na wadau wa Muziki ninapenda kuwataarifu kwamba ule utaratibu  tuliokua tukiendeleanao wa kuachia wimbo mpya kila mwezi tumeusitisha rasmi ukiwa na nafanikio lukuki,Sina zaidi ya shukrani kwa mungu na wote waliofanikisha zoezi hili lililotimiza mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu lianze,Asanteni sana".Bob Haisa yes
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support