Saturday, January 17, 2015

New Music : Ben Pol - Sophia

Msanii wa RnB Tanzania Ben Pol,ameuanza mwaka 2015 kwa kuachia wimbo wake mpya alioupa jina la Sophia.Akizungumza kwa njia ya simu na blog hii KT ambaye ni meneja wa Ben Pol alisema "Ben Pol ametoa wimbo mpya unaitwa Sophia  umetengenezwa na Producer Mswaki chini ya Innova Music Group".KT aliongeza kuwa video itafuata mwezi wa pili mwaka huu. Ingia hapa kuupata
Youtube: https://www.youtube.com/watch?v=CzbQ_ZyZkio
Mziiki: http://bit.ly/1IMFjLy
Amazon: http://www.amazon.com/Sophia/dp/B00RWDMBJQ/ref=sr_1_1?ie=UTF8&qid=1421159830&sr=8-1&keywords=Ben+Pol+-+Sophia
iTunes: https://itunes.apple.com/us/album/sophia-single/id956007424
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support