Thursday, January 22, 2015

New Music : Baraka Da Prince - Siachani Nawe

Hii itakua ni singo ya 2 kuwa rasmi kwenye masikio yako kutoka kwa Barakah Da Prince baada ya ile ya kwanza ya Jichunge akiwa na Tetemesha Production,singo inaitwa Siachani nawe.Imetengenezwa na watayarishaji watatu wa muziki ambao ni Nusder/Lollypop na Kid Boy kwenye studio ya Tetemesha Records.Isikilize hapa http://www.hulkshare.com/tetemesharec/barakah-da-prince-siachani-nawe
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support