Thursday, January 22, 2015

New Music : Flora Mvungi Feat. AT - Mkazurure

Tulimfahamu sana kupitia filamu, Flora Mvungi time hii naye kaamua pia kuingia kwenye Bongo Fleva, leo ameachia single yake mpya iitwayo ‘Mkazurure’ aliyomshirikisha AT.
Producer Fraga kutoka studio ya Uprise Music.Isikilize hapahttp://www.hulkshare.com/h-mama-mkazurure-prod-by-fraga-uprise-music
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support