Monday, July 1, 2013

COMING SOON:RAMA DEE FT. LADY JAYDEE

Msanii mwenye miondoko ya RnB Tanzania,RAMA DEE anatarajia kutoa
ngoma yake mpya hivi karibuni…Msanii huyo anaetamba na ngoma aliyowashirikisha mapacha inayojulikana kama "Kuwa na Subira",anatarajia kuja upya na ndani ya ngoma hiyo mpya ameshirikisha mwanadada LADY JAYDEE.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support