Sunday, August 3, 2014

Hii ndio list ya wasanii watakao panda kwenye jukwaa la Fiesta Mwanza

Msimu wa Fiesta 2014 umeshaanza na show ya kwanza  itafanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9/8/2014 siku ya Jumamosi. Hii ni list ya wasanii watakaofanya show kwenye jukwaa la Fiesta.
  • Diamond Platinumz
  • Shaa
  • Mkubwa na Wanae
  • Young Killer
  • Ney Wa Mitego
  • Mr Blue
  • Linah
  • Makomando
  • Madee
  • Young Dee
  • Super Nyota
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support