Friday, August 29, 2014

Ngoma 3 na video moja mpya kutoka P Square

P square wameachia ngoma tatu mpya pamoja na video ya wimbo mmoja waliomshirikisha Rapper T.I kutoka Marekani. 
kupitia website yao wameandika "To our fans all over the world, the wait is over. Our 6th album is almost ready for you but just before then, here are 3 new singles for #TeamPSquare. Enjoy!"
Bonyeza katika majina ya ngoma hapo chini kudownload
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support