Friday, August 15, 2014

New Music : Bob Haisa Feat. Mayala - Jino Bovu

"Wapendwa mashabiki wangu na wapenzi wa miduara kwa ujumla nifursa nyingine naitumia kutekeleza ahadi yangu kwenu ya kukupatieni ngoma mpya kila tarehe 15 ya kila mwezi.Leo hii nadondosha mduara mwingine mpya baada ya Lamsondo Sasa nakuambia 'kheri pengo kuliko jino bovu' hebu isikilize" Bob Haisa Yes!
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support