Saturday, March 23, 2013

ALBUM YA "DKM" YA D'BANJ KUTOKA TAR.30 MARCH

  Msanii  kutoka Nigeria  Dbanj anajiandaa kuachia album yake mpya tarehe 30,March Mwaka huu,Dbanj katika interview
moja na kituo cha Television  alitaja Baadhi ya nyimbo ambazo zitakuwemo katika album hiyo ni pamoja na "Scape goat remix & Dont tell me nonsense",Wasanii walioshirikishwa katika album hiyo ni pamoja na kanye west,Olamide,K-switch,J.sol na wengine wengi.


Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support