Sunday, March 24, 2013

Z-ANTO KURUDI NA "TANZANIA"


Msanii wa bongo fleva Z-Anto ameamua kurudi upya na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "Tanzania" ambayo ataiachia rasmi
katika sikukuu ya pasaka.
Anto amewaahidi mashabiki wake kwamba nyimbo itakuwa nzuri sana na wasubiri ujio wake mpya.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support