Saturday, March 23, 2013

CHINUA ACHEBE AFARIKI DUNIA

Mwandishi mashuhuri kutoka Nigeria {Afrika} Chinua Achebe amefariki dunia akiwa na umri wa miaka
82 ambapo familia imetaka kutoweka wazi sababu za kifo chake.
Chinua ambae amekua akitumia wheel chair toka mwaka 1990, amefariki dunia akiwa hospitali Boston Marekani jana asubuhi.
Kitabu cha kwanza cha Achebe ambacho ni ‘Things fall apart’ inasemekana ndio kitabu kinaachoongoza Afrika kwa kuchapishwa kwa lugha tofauti ambacho pia kilichapishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1958.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support