Wednesday, March 27, 2013

BANANA KUPIGA COLLABO NA WYRE

Banana Zoro
Msanii Banana Zoro ameweka wazi kuwa katika ratiba zake nyingi za muziki alikuwa na mpango wa kutengeneza ngoma na msanii kutoka kenya wyre so kwa   sasa yupo kwenye mchakato wa kufyatua kazi poa sana akiwa amemshirikisha Wyre  "The Love Child" , kazi ambayo
wapenzi wa muziki taya wamkwishaijengea picha itakuwaje,Kuhusu jina la ngoma hii na sehemu ambayo inafanyika, Banana bado hajaweka wazi.
Wyre


Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support