Friday, March 22, 2013

[PHOTO] J MARTINS KUPIGA COLLABO NA AY,FA & OMMY DIMPOZ

Kupitia ukurasa wake wa "Facebook" Master J ameandika ujumbe huu pamoja na picha ya Ommy Dimpoz na J Martin wakiwa MJ records.
"Leo MJ Records tuko na AY. Anafanya collabo na msanii wa
Nigeria J Martins.

Haikuishia hapo tu pia mwanamziki kutoka  Nigeria anayefanya vizuri kwenye anga ya muziki ambaye alishuka bongo siku mbili zilizopita J Martins ameonekana ku-tweet picha ambayo inamuonesha akiwa ndani ya Booth katika Studio ya MJ Record.
Picha hizi zinaonyesha  AY, MwanaFA na Ommy Dimpoz wako huko pia kufanya kitu katika studio hiyo...

Pia kwa upande wa Mwana FA ameonekana kuweka picha katika moja ya mtandao wake wa kijamii anaotumia ambayo inamuonyesha akiwa na  J Martins huku akiandika, " J Martins featured on FA&AY.Angalia hizi picha hapa




Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support