Sunday, March 24, 2013

[PHOTO] ANGALIA PICHA YA GARI ALILOPATA NALO AJALI WOLPER

Hivi karibuni msanii wa filamu Tanzania, Jackline Wolper alipata ajali ya gari na kunusurika
kuumia vibaya. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Kijitonyama, ambapo msanii huyo alikuwa njiani kuelekea garage kufuata gari yake na kujikuta safari yake kuishia katikati.
Gari hiyo aina ya Marcedes Benz ambayo Jackline alipata nayo ajali haikuwa yake, bali ilikuwa ni gari ya rafiki yake.
Cheki picha ya gari alilopata nalo ajali hapo chini:




Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support