Friday, September 26, 2014

Bob Haisa kudondosha video mpya hivi punde

Mwanamuziki Bob Haisa anatarajia kuachia video yake mpya hivi punde kupitia Ukurasa wake wa Facebook amesambaza picha na kuandika Zilikuwa siku sasa ni masaa kadhaa tu ya kusubiri kuitazama video yetu mpya ya wimbo wa "Lamsondo" ambayo itakuwa hewani muda mfupi,Video imeongozwa na Dir.Kenny Ukiyz wa Peace Film Production.‪#‎BobHaisaYes





Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support