Monday, September 1, 2014

New Music : Sauti Ya Babu - Ukweli

Sauti Ya Babu ni msanii mwenye ujumbe mzito kwa taifa la leo. Mzee huyu anayo shahada ya udaktari na binadamu kutoka nchini Cuba na amekuwa mtumishi wa Serikali na kiongozi katika idara ya afya. Alianza kutengeneza muziki tangu mwaka 2010. Mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi hapa nchini yamemsukuma kuanza kutoa nasaha kwa njia ya nyimbo. 
Wimbo huu kutoka kwa Sauti Ya Babu uitwao Ukweli upo katika style tofauti kabisa na unapatikana hapahttps://mkito.com/song/ukweli/2471
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support