Friday, September 5, 2014

New Music - Q Chillah Feat. MB Dog - Nipende Nikupende



Baada ya kimya kirefu Q Chillah amerudi kwa nguvu kubwa. Hii hapa ndiyo single yake ya kwanza anaiachia inaitwa NIPENDE NIKUPENDE.
 
Q CHIEF MWENYEWE ALIKUWA NA HAYA YA KUSEMA
Kwa  miaka mitano nimekuwa kimya  kwenye radio na anga ya muziki ikiwa ni  sehemu ya kuyapitia maisha mengine  nje ya muziki but  thanks to God kupata mkataba mkubwa QS MHONDA ENTERTAINMENT kunirudisha tena  kwa nguvu  zote  kwa watanzania wangu waliomisi mziki mzuri toka kwangu nasubiri muda tu niachie  muziki mzuri  kama ilivyokuwa mwanzo  na zaidi ya mwanzo ni zaidi ya Q Chief  wanayemjuwa. 
Bofya hapahttps://mkito.com/song/nipende-nikupende/2530 kudownload

Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support