Saturday, September 13, 2014

New Music : AY Feat. Ms. Triniti & Lamyia - It's Going Down

Ambwene Yessaya aka AY ameachia ngoma yake mpya It's Going Down akiwashirikisha Ms. Triniti pamoja na Lamyia kutoka Marekani ikiwa ni kazi yake nyingine ya kimataifa.
 
Si mara ya kwanza kwa AY kufanya kazi na waimbaji hao,aliwahi kumshirikisha Ms. Triniti kwenye wimbo wa Good Look, Lamyia pia kwenye wimbo wa Speak With ya Body.
 Mtayarishaji wa ngoma hii ni producer wa kimataifa aitwaye Riley,Isikilize na download hapa 
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support