Thursday, September 4, 2014

New Music : Baibe Lizy - Nyota Inang'aa

BAIBE LIZY  ameachia ngoma mpya leo inaitwa NYOTA INANG'AA
Mrembo huyu na mshindi wa pili (1st Runner) wa Redds Miss Tabora 2014. Kipaji chake kiliibuka kupitia shindano hilo kwa kuimba nyimbo za wasanii wengine. Baibe Lizy ameamua kukiendeleza kipaji hiki na sasa ni wakati kwetu Watanzania kumpokea. Producer ni Eizer Bitz na Nusder.Bofya hapahttps://mkito.com/song/nyota-inangaa/2522kudownload

Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support