Friday, September 26, 2014

New Music : Navy Kenzo - I Just Wanna Love You

 Kundi la Navy Kenzo akiwemo producer Nahreel pamoja na Aika wametoa wimbo wao wa kwanza kutoka kwenye album yao mpya iitwayo NIROGE.

Navy Kenzo waliingia kwa nguvu kubwa wakiwa na style ya tofauti kabisa kwenye vibao kama CHELEWA na ONE DOLLAR ONE DAY na sasa wanakuletea album nzima! Producer Nahreel amefanya kazi na wasanii wakubwa na kutoa vibao kama HAWAJUI ya Vanessa Mdee na GERE ya Weusi. Pia amefanya kazi na wasanii wengi wakubwa wakiwemo Joh Makini, Nikki wa Pili, Izzo Biznes, Pah One, G nako, Nakaaya na Roma.

I JUST WANNA LOVE YOU inatoka rasmi leo 26/09/2014 kupitia https://mkito.com/song/i-just-wanna-love-you/2783
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support