Friday, September 5, 2014

New Video : Malale Feat. Bob Haisa - Kampeni Za Kahawa

Msanii kutoka Rock City,Mwanza 'Malale' ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao 'Kampeni Za Kahawa' akimshirikisha Bob Haisa kutoka Mwanza pia.Mtayarishaji wa wimbo huu ni King Fenya kutoka Mbunda Records na video imeongozwa na FJ Pro.itazame hapa
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support